book dating espaola guest nm - Wue camsexy argentina


Akisoma maelezo hayo ambayo yatatumiwa na upande wa mashitaka kujenga msingi wa kesi hiyo, wakili wa serikali, Stella Majaliwa, aliieleza mahakama kuwa mfanyabiashara huyo alipanga mauaji akilipiza kisasi kwa Msuya.

Wue camsexy argentina-33Wue camsexy argentina-81Wue camsexy argentina-29

Kwa mujibu wa maelezo hayo, mshitakiwa huyo baada ya kutoka Babati alirudi siku nyingine na kukutana na mfanyabiashara huyo akishikiliwa na akamtaka kwa mara nyingine afanye hiyo kazi na kama atashindwa, mfanyabiashara huyo aliahidi kuifanya mwenyewe.

Mshitakiwa huyo aliendelea kueleza, mfanyabiashara huyo aliomba atafutwe mtu aitwaye Mredii ili amuue Erasto na alitekeleza jukumu hilo.

Akadai baada ya maelezo hayo alipewa sh 300,000 na mshitakiwa wa kwanza na kujaziwa mafuta kwenye gari lake kisha kusafiri hadi Babati alikokutana na mtu mwingine aitwaye Ally Msuya na kumweleza juu ya mpango wa kumuua Erasto.

Siku ya mauaji ilipofika mshitakiwa wa kwanza alikiri kuwa ndiye aliyebeba silaha aina ya SMG iliyotumika katika mauaji hayo hadi eneo la King’ori mkoani Arusha na kuikabidhi kwa Karim Kihundwa ambaye ni mshitakiwa wa tano.

Kwa mujibu wa maelezo ya mshitakiwa huyo, baada ya mauaji hayo mshitakiwa wa pili na wa sita, Sadik Jabir ‘Msudani’ walimfuata hadi Arusha na aliwapa sh milioni 10 huku sh milioni sita nyingine akiahidi kuwalipa baada ya kukutana na Chusa.